Tuesday, 23 May 2017

Serikali kuhakiki elimu ya watumishi wake kwani wengi wao vilivyomo kichwani ni




Waziri wa elimu prof Ndalichako amesema serikali italazimika kupitia elimu za watumishi wake kwani wengi wao licha ya kua na vyeti vizuri lakini kilichomo vichwani mwao ni duni sana ukilinganisha na vyeti source waziri akiwa tbc. Kwa hali hii sasa kiukweli hakuna atakayebaki kazini.


Kama kweli waziri wa Elimu Prof. Ndalichako atayafanyia kazi haya ambayo ameyazungumza TBC mimi ninaimani kubwa sana watumishi wengi wataondoka kazini tena kwa idadi kubwa sana kupita hata wale wa vyeti feki, na hii inatokana na kuwa na elimu ambazo nizakupachikwa kwani ukimchukua mtu afanye kazi kutokana na elimu yake kiukweli ulimwingu utavurugika kwani wengi wao hawana ujuzi kabisa


EmoticonEmoticon