Meneja wa Manchester United Jose Mourinho hamtaki Ronaldo kwa sababu anahisi kiwango chake kimeanza.
Unaweza kusema Mwinyi Haji Mngwali, ndiye ‘kaka mkuu’ Jangwani, hii ni kutokana na kuwa mchezaji chaguo namba moja aliyetumika kwa dakika nyingi katika msimu wa Ligi wa 2016/17 uliomalizika Mei 20.
Mwinyi, anayecheza nafasi ya beki wa pembeni wa kushoto alicheza kwa jumla ya dakika 2411 katika mechi 27 za Ligi Kuu.
Mshambuliaji Simon Msuva amemfuatia Mwinyi kwa kucheza jumla ya mechi 27 kwa dakika 2363 mbele ya kiungo Thaban Kamusoko aliyecheza mechi 23 za Ligi kwa jumla ya dakika 2003.
Orodha ya nyota kumi waliotumikia Yanga kwa dakika nyingi zaidi ni kama ifuatavyo.
Nyota 10 waliotumika zaidi Yanga msimu wa 2016/17
Mchezaji Mechi Dakika
Mwinyi Haji 27 2411
Simon Msuva 27 2363
Thaban Kamusoko 23 2003
Amissi Tambwe 21 1880
Vincent Bossou 17 1530
Haruna Niyonzima 20 1805
Obrey Chirwa 20 1726
Kelvin Yondani 20 1724
Deogratius Munishi 18 1620
Juma Abdul 17 1613
Vicent Bossou 17 1530
BOFYA HAPA KUSOMA RATIBA YA PREMIER LEAGUE (EPL) 2017 - 2018.
EmoticonEmoticon