JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,
Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,
Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 21st Juni, 2017.
Tele Fax : 2153426
Barua pepe : ulinzimagazine@tpdf.mil.tz
Tovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa
Tanzania linasikitika kutangaza kifo cha Brigedia Jenerali Romanus
Mbilinyi Hellela (mstaafu), kilichotokea tarehe 18 Juni, 2017 katika
Hospitali ya Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu.
Mwili wa marehemu utaagwa rasmi
tarehe 23 Juni, 2017 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika Hospitali Kuu ya
Jeshi Lugalo na mazishi yatafanyika saa 8.00 mchana katika makaburi ya
Kinondoni.
Imetolewa na Kurugenzi ya Habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi, Upanga
S.L.P 9203, Dar es Salaam, Tanzania.
Kwa Mawasiliano zaidi : 0756 716 085
EmoticonEmoticon