Nifate Twitter
Monday, 5 March 2018
Sunday, 8 October 2017
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE.
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE
Mkurugenzi Mtendaji (W)Makete kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na
Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CFC 26/205/01"FF" /91 anapenda
kuwatangazia Wananchi wote wenye sifa za kuajiriwa kuleta maombi yao yao kwa nafasi zifuatazo
MTENDAJI WA KIJIJI III - NAFASI 56
1.1. MAJUKUMUYA KAZI
(i) Kuwa Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji
(ii) Kusimamia ulinzi na usalama.
(iii)Kusimamia utawala bora katika Kijiji
(iv)Kuwa katibu wa mikutano na kamati zote za Halmashauri ya Kijiji
(v) Kutafsiri na kusimamia sera, sheria na taratibu zinazoongoza Serikali ya kijiji
(vi)Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za
Kijiji.
NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia viwango vya Serikali ngazi ya mshahara ya TGS B kwa mwezi.
SIFA ZAMWOMBAJI
Mhitimu wa kidato cha nne au sita waliohitimu mafunzo ya cheti katika moja ya
fani za Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya
Jamii au Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikari za Mitaa Hombolo, Dodoma
au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
MASHARTIYA UJUMLA
(i)Mwombaji wote wawe ni raia wa Tanzania
(ii)Waombaji wote waambatanishe nakala ya cheti cha kuzaliwa
(iii)Waombaji wote waambatanishe na maelezo binafsi (CV)
(iv)Waombaji waambatanishe picha 1 "Passport Size" ya hivi karibuni na
nakala za vyeti halisi.
(v)Transcript "Testmonials" na "Provisional Results" au Statement of Results
havitakubaliwa.
(vi)Mwombaji awe na umri usiozidi miaka 45 na usiopungua miaka 18.
(vii) Kwa waombaji ambao walishatuma maombi yao kupitia Tangazo la nafasi
sita za Watendaji wa Vijiji III la tarehe 28/08/2017 wasitume maombi kwa
kuwa barua zao zipo na zitatumika kwa ajili ya maombi ya kibali kilichotangazwa kupitia Tangazo hili.
6. MAOMBI YATUMWE KWA:
Mkurugenzi Mtendaji (W)
Halmashauri ya Wilaya ya Makete,
S.L.P.6,
Makete.
MWISHO WA KULETA MAOMBI
Maombi yawasilishwe kabla au mnamo tare he 17/10/2017 saa 9:30 Alasiri.
Maombi yatakayowasilishwa baada ya tare he na muda uliopangwa hayatafanyiwa kazi.
Friday, 22 September 2017
Tuesday, 12 September 2017
Subscribe to:
Posts (Atom)
Sosial Media
Navigation List
Paling Dibaca
-
Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Yohana Nkomola, amegoma kujiunga na vilabu vya ndani y...
-
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amemtahadharisha Mkurugenzi wa Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilem...
-
WANAWAKE:- Kwanini mwanaume anaweza kukukataza kufanya baadhi ya vitu? sababu ziko hapa. BOFYA HAPA NAFASI za kazi za UDEREVA 150Pos...
-
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea hati ya utambulisho ya mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. ...
-
< Bofya hapa kupata habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi. > ...
-
Uhamisho wa Paul Pogba kutoka Juventus kuelekea Manchester United uliovunja rekodi ya dunia sasa unachunguzwa na shirikisho la soka dun...
-
NAFASI ZA KAZI MUHIMBILI UNIVERSITY OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES (MUHAS). deadline July.. 105Posts Klabu ya Simba SC imetoa taarifa ...
-
BOFYA HAPA KUPATA NAFASI ZA KAZI BULWARK ASSOCIATES ADVOCATES (BAA) LIMITED (14Posts). Deadline August 5. Haya hapa Majin...
-
Uongozi wa uwanja wa CCM kirumba wa mkoani Mwanza umeweka wazi viingilio kwa mashabiki na wapenzi wa mpira wa miguu wanaotaka kuushuhudia...
Kategori
Formulir Kontak
copyright© 2016. Powered by Blogger.