Nifate Twitter
Home
All posts
Monday, 17 July 2017
Saturday, 15 July 2017
Friday, 14 July 2017
Klabu ya Simba SC imetoa taarifa kuwa imemteua Dr Arnold Kashembe kuwa.........
Klabu ya Simba SC imetoa taarifa kuwa imemteua Dr Arnold Kashembe
kuwa Katibu Mkuu mpya wa klabu hiyo, isome taarifa ya Simba hapa chini.
Kamati ya utendaji ya klabu ya Simba iiliyokutana jana jioni,kwenye
moja ya kumbi za mikutano za Hoteli ya Serena iliyopo hapa jijini Dar es
salaam,imemteua *Dr Arnold Kashembe* kuwa katibu Mkuu mpya wa klabu.
Msomi huyo mwenye shahada ya Uzamivu na aliyekuwa Mhadhiri kwenye vyuo mbalimbali barani Ulaya, uteuzi wake unaanza mara moja.
Pia kamati hyo imepanga kufanya Mkutano wake mkuu wa kawaida tarehe
13-8-2017, huku pia ikitarajiwa kufanya Mkutano Mkuu utakaojadili
mabadiliko ya katiba tarehe 20-8-2017.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Sosial Media
Navigation List
Paling Dibaca
-
Nilipokuwa natoa mada kuhusu miaka 50 ya Azimio la Arusha niliongelea pia suala la umakini wa viongozi katika kauli zao. Kwamba Kiongo...
-
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli ameagiza msanii Emmanuel Elibariki anayejulikana kama Nay wa mitego kuachiliwa huru ma wimbo ...
-
The captain of the national team who is also an international striker who play on Club KRC GENK in the Belgium Mbwana Samatta recently...
-
BOFYA HAPA KUSOMA RATIBA YA PREMIER LEAGUE (EPL) 2017 - 2018. Haya hapa Majina ya vyuo vilivyozuiwa na TCU kuandikisha wanafunz...
-
TANZANIA IMEFUZU ROBO FAINALI KATIKA MASHINDANO YA COSAFA. AMIS TAMBWE AONGEZA MKAT...
-
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo amepokea hati ya utambulisho ya mabalozi watano walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. ...
-
Mshambuliaji machachari wa Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Yohana Nkomola, amegoma kujiunga na vilabu vya ndani y...
-
Bofya hapa kupata habari mbalimbali za ndani na nje ya nchi. BOFYA HAPA KULIKE PAGE YETU YA Facebook KWA HABARI MBALIMBAL...
-
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE Mkurugenzi Mtendaji (W)Makete kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotole...
Kategori
Formulir Kontak
copyright© 2016. Powered by Blogger.

























































